Hivi huwezi piga rangi gari bila kupiga puti?

Nadhani mkuu tatizo ni vifaa, huwezi kutumia nyundo na macho kunyoosha bati lirudi kwente saizi yake.

Nadhani watu wa karakana za magari wajifunze ku invest kwenye vifaa mordern.
Ili upige rangi bila puti ni lazima ubadilishe hicho kifaa halafu upige rangi

Kwa mfano Mudguard imevonyea toa hiyo mudguard funga nyingine na piga rangi
 
Huwa linaonyesha kiraka kwani rangi mpya ni ngunu kufanana na rangi ya kale
Inategemea pia umepiga rangi ya gharama gani. Nina gari lenye miaka sita, last week nimerudia rangi bumper la mbele na nyuma pmoja na mlango wa buti.

Sijisifii sijaona tofauti kwa sababu tulinunua rangi kutokana na namba ya rangi ya gari kwa wahindi..

Shida inakuja wabongo tunapenda vya bei rahisi...
 
Naomba kujua apo maana nataka kunyoosha yangu imebondeka sehem
 
Inategemea pia umepiga rangi ya gharama gani. Nina gari lenye miaka sita, last week nimerudia rangi bumper la mbele na nyuma pmoja na mlango wa buti.

Sijisifii sijaona tofauti kwa sababu tulinunua rangi kutokana na namba ya rangi ya gari kwa wahindi..

Shida inakuja wabongo tunapenda vya bei rahisi...
Mkuu nsaidie hapo kwenye rangi kutokana na namba ya gari naitaji kunyoosha gari yangu iligonga
 
Rangi za magari zina namba....kwa mfano gari yangu ni grey na namba yake ya rangi ni K21 G.

Hizi namba huwa wanaziandika pale kwenye mlango wa dereva. Wasipoweka pale basi wataziandika under hood wanapobandikaga kibandiko flan hivi cha aluminium kinaonyesha details muhimu za gari..

Kwa hiyo ukishachukua namba ya rangi, aina ya gari na mwaka iliyotengenezwa ukaenda kwenye maduka yanayieleweka, unapata rangi saafi kama iliyotoka na gari.

Garage za wahuni huwa wanafananisha rangi kwa macho
 
Mkuu nsaidie hapo kwenye rangi kutokana na namba ya gari naitaji kunyoosha gari yangu iligonga
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20200726_193603_381.jpg
 
Inategemea pia umepiga rangi ya gharama gani. Nina gari lenye miaka sita, last week nimerudia rangi bumper la mbele na nyuma pmoja na mlango wa buti.

Sijisifii sijaona tofauti kwa sababu tulinunua rangi kutokana na namba ya rangi ya gari kwa wahindi..

Shida inakuja wabongo tunapenda vya bei rahisi...
Ulipaka rangi sehemu gani? Kwa kiasi gani mkuu?
 
Uzi wa siku nyingi, kiwandani gari lazima ipigwe rangi ya premer na sio put/paste ambayo inazuia kutu kwenye mabati, badae inapigwa rangi husika(metallic, auto, 2k plus clear) kila rangi ya gari ina no.

Kibongo bongo huwezi kunyosha gari bila kupaka put & paste maana bati limejikunja, umelichomelea na gas huwezi paka rangi bila kuweka put/paste lilingane.

Gari kufubaa rangi fundi aliweka hardner kidogo kwenye rangi au hakukupigia clear baada ya kupuliza rangi.
 
Rangi inafanana na za sehemu ingine mkuu? Ni rangi gani i.e blue, nyeupe au nyeusi..?
Ndiyo mkuu....inafanana 100% hakuna tofauti yoyote..Rangi yangu ni Kijivu K21..

Kuna raha sana ya kupaka rangi kwa namba japo inakamua wallet...

Aisee, karangi kidoogo hakafiki hata robo lita tumenunua zaidi ya 120k.[emoji26][emoji26][emoji26]
Lakini rangi hiyo kuna sehemu wanauza mpaka elfu 50..
 
Kwaio mkuu unaweza kwenda na hio color code kwa mchina na akakutolea hivyo hivyo au? Maana mwaka 2013 jamaa aliiangalia gari rangi yake kuja kuchanganya rangi ikawa tofauti kidogo na ya sehemu zingine...kuna sehemu huku dar wachina wanachanganya rangi..
 
Mkuu ukitumia colour code kitu kimatoka vile vile...bora tu fundi naye awe mzuri na mashine yake ya ku spray iwe na uhakika.

Mimi nilinunua kwa wahindi mara nyingi naoña wahindi hawana magumashi kama wabongo....Wachina sina uzoefu nao japo nao wakishajua Kiswahili wanakuwa waswahili swahili tu.
 
Aisee, karangi kidoogo hakafiki hata robo lita tumenunua zaidi ya 120k.[emoji26][emoji26][emoji26]
Lakini rangi hiyo kuna sehemu wanauza mpaka elfu 50..
Sasa si ungewashauri waende wakanunue kwa 50,000 ungesavu 70,000 nzima.
 
Back
Top Bottom