Hivi huwezi piga rangi gari bila kupiga puti?

wanachanganya na kijiti...pearl white inachukuliwa nyeupe inadondoshewa matone ya njano mpaka inaenda kwenye u pearl πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ white
 
Ukitaka ifanywe hivo bei yake bora ununue gari mpya unaezajikuta inalamba 5 mil
 
Hio gari rangi yake iliwahi badilishwa mkuu
 
Gari ikiwa inatengenezwa kiwandani, ikija kwenye habari ya Rangi huitaji ku apply puti, Wana apply Primer then Painting....!
 
Ukitaka ifanywe hivo bei yake bora ununue gari mpya unaezajikuta inalamba 5 mil
Hakunaga bei ya hivyo labda kama unafufua gari iliyooza kila kitu. Rangi nzuri kabisa imenyooka kwa mchina haizidi milioni 1.5
 
Wakuu salam,
Naomba kujua kama kuna yeyote mwenye mawasiliano (jina la Kampuni) za wahao wachina au wahindi wanaotengeneza rangi kwa kutumia Color Code ya Gari yako.

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…