Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
wanachanganya na kijiti...pearl white inachukuliwa nyeupe inadondoshewa matone ya njano mpaka inaenda kwenye u pearl 😂😂😂 whiteRangi za magari zina namba....kwa mfano gari yangu ni grey na namba yake ya rangi ni K21 G.
Hizi namba huwa wanaziandika pale kwenye mlango wa dereva. Wasipoweka pale basi wataziandika under hood wanapobandikaga kibandiko flan hivi cha aluminium kinaonyesha details muhimu za gari..
Kwa hiyo ukishachukua namba ya rangi, aina ya gari na mwaka iliyotengenezwa ukaenda kwenye maduka yanayieleweka, unapata rangi saafi kama iliyotoka na gari.
Garage za wahuni huwa wanafananisha rangi kwa macho