Hivi Huwezi ukawashitaki Polisi kwenye vyombo vya kimataifa

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.

Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
 
Huoni vita zinazoendelea hapa duniani na vyombo vya kimataifa ni waangalizi tu ?
 
Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa
Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
Icc kama ilivyokuwa kwa Durterte
 
inauma sana polisi wenyewe wanalala kwenye maslums halafu wanaonea maskini wenzao dah
Naona kama hii stairi ya maisha ya kuwakamata watu kuwapiga na kwenda kuwatupa msituni inayofanywa na jeshi la polisi itaachwa iendelee na hakuna anayoikemea itakuja reta maafa makubwa wanaotoa amri haya yafanyike ni Viongozi wakubwa,kule kwoa kumetulia lakini huku sababu hawana shangazi wala mjomba,wqnafurahi tu,na kuna mijitu hupelekeshwa kama mbwa wao wanafanya tu na tunaishi nao,kuna kitu kibaya kinaenda kutokea soon
Nitakukumbuka daima Mwamwindi wa Isimani shujaa wa wahehe
 
Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa
Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
Huwezi mkuu hakuna sheria hiyo ni kama chadema lowasa alivyoshindwa uchaguzi wakadanganya watu wao wanaenda sijui mahakama ya africa ,hakuna kitu kama hicho
Katiba yetu ipo very clear matokeo ya uraisi tume yq uchaguzi ndio final say
 
Bosi wao ndiye atakayepandishwa Kizimbani kama huyu👇
20250314-initial-appearance-duterte.jpg
 
Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.

Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
Unaweza kuwashtaki The Hague ukiwa na ushahidi kuntu. Kama hauna unaweza kufungua tu ikaishia hapo.
 
Huwezi mkuu hakuna sheria hiyo ni kama chadema lowasa alivyoshindwa uchaguzi wakadanganya watu wao wanaenda sijui mahakama ya africa ,hakuna kitu kama hicho
Katiba yetu ipo very clear matokeo ya uraisi tume yq uchaguzi ndio final say
Ila kuna kitu kinaenda kutokea aminini,tutashuhudia mengi naamini hata baadhi ya wana CCM kutoka bara hawapendi kuona yakifanyika haya huku yakiwa na baraka ya Viongozi kutoka Visiwani
 
Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.

Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?

Watanzania huwa ni waoga sana popote tulipo tunaogopa hata kumshtaki mjumbe wa nyumba 10 hata akitembea na na mkewe nyumbani kwako utasema hewala baba, na pia tuna natural ignorance na imechangiwa sana na dilution ya elimu inayofanywa na sisiemu kwenye mitaala ya kila level, ukitaka kujua angalia graduate wa sasa na wa zamani, hata kwenye majeshi pia, Tamim (RIP) halingani kabisa na magenerali wa leo, alikua captain tu wakati anakufa na kina Hans Pope uwezo wao haulinganishiki kabisa na wakubwa wa sasa. Kimsingi unaweza kumshtaki mtu yeyote popote as long as amevunja haki zako, angalia avenues na kama huwezi tafuta mwanasheria akushauri (kama wapo wasio na dilution pia), hamna mtu duniani ana nguvu ya kupora haki ya mwingine na akawa immune! Hata kama sio leo itafika muda lazima atajibu tu! Ni wewe mwenyewe tu...
 
Hakuna kitachotokea kwa sheria hizi kwa katiba na sheria zetu raisi ni kama mungu na wananchi wa tanzania wasikudanganye huwa wamejaaliwa mdomo tu
Wengine wakapiga mkwara sijui mabalozi ,mara sijui msipomleta lissu tutafanya hiki na kile, haya lissu hajaketa sema wewe nini kilichotokea? Si wapo sasahivi bar wanalewa tu huku lissu wamemuacha gerezani, usismini binaadamu
 
Watanzania huwa ni waoga sana popote tulipo tunaogopa hata kumshtaki mjumbe wa nyumba 10 hata akitembea na na mkewe nyumbani kwako utasema hewala baba, na pia tuna natural ignorance na imechangiwa sana na dilution ya elimu inayofanywa na sisiemu kwenye mitaala ya kila level, ukitaka kujua angalia graduate wa sasa na wa zamani, hata kwenye majeshi pia, Tamim (RIP) halingani kabisa na magenerali wa leo, alikua captain tu wakati anakufa na kina Hans Pope uwezo wao haulinganishiki kabisa na wakubwa wa sasa. Kimsingi unaweza kumshtaki mtu yeyote popote as long as amevunja haki zako, angalia avenues na kama huwezi tafuta mwanasheria akushauri (kama wapo wasio na dilution pia), hamna mtu duniani ana nguvu ya kupora haki ya mwingine na akawa immune! Hata kama sio leo itafika muda lazima atajibu tu! Ni wewe mwenyewe tu...
Ahsante ndugu yangu,Haki yangu nitaipata pale nitakapoondoa uoga wa kifo,na kuwatanguliza wale wenye tamaa ya maisha ya kuzurumu wengine wakizani wataishi milele
Itafikia wakati kuna watu watakuwa na kiu ya kufa,yaani wanatamani wafe lakini hawatakubali kufa peke yao
 
Sawa kabisa...
 
Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.

Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
Mkuu polisi wala tusiwalaumu sababu wao wanatimiza majukumu yao bosi wao kawaambia piga, sasa wao wanapiga maana wanaliza kazi yao pia, na kiapo walichokula..

Mtu mbaya ni kiongozi wa juu na chama chake maana hao ndio watoa maamuzi alafu watekelezaji maamuzi wanafanya yao jambo
 
Watanzania sio waoga ni wavumilivu , kama kizazi cha kitanzania kingekuwa kioga basi wakoloni weupe wasingeweza pambana nao tena kwa silaha nyepe, usiwachukulie poa ,ukitaka kujua hili Muulize Prof kabudi katika hoja hii
 
Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.

Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
ICC haina nguvu sn
 
Back
Top Bottom