Hivi Huwezi ukawashitaki Polisi kwenye vyombo vya kimataifa

Hivi Huwezi ukawashitaki Polisi kwenye vyombo vya kimataifa

Kwa kosa gani walilolifanya wakati wao wanatii amri ya boss wao
 
Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.

Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
Haya kupigwa waandamanaji na wano fanya fujo kote duniani yapo.
haya ya kubakwa na kupotea watu kote duniani yapo.
Marekani
UK , France, Germany
China
Korea
Urusi
South Afrika
Kenya
Uganda
Rwanda
Burundi
Saudia na nchi nyenginezo.

Yapo haya kwa lengo lakudumisha amani ya nchi.
Isipokuwa wenzetu wanfanya siri sana, au kufanya ni kama ajali au kifo cha dharura.
 
Back
Top Bottom