Icc kama ilivyokuwa kwa DurterteNilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa
Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
Two different scenariosHuoni vita zinazoendelea hapa duniani na vyombo vya kimataifa ni waangalizi tu ?
Haya kashitaki.Two different scenarios
Naona kama hii stairi ya maisha ya kuwakamata watu kuwapiga na kwenda kuwatupa msituni inayofanywa na jeshi la polisi itaachwa iendelee na hakuna anayoikemea itakuja reta maafa makubwa wanaotoa amri haya yafanyike ni Viongozi wakubwa,kule kwoa kumetulia lakini huku sababu hawana shangazi wala mjomba,wqnafurahi tu,na kuna mijitu hupelekeshwa kama mbwa wao wanafanya tu na tunaishi nao,kuna kitu kibaya kinaenda kutokea sooninauma sana polisi wenyewe wanalala kwenye maslums halafu wanaonea maskini wenzao dah
Huwezi mkuu hakuna sheria hiyo ni kama chadema lowasa alivyoshindwa uchaguzi wakadanganya watu wao wanaenda sijui mahakama ya africa ,hakuna kitu kama hichoNilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa
Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
Unaweza kuwashtaki The Hague ukiwa na ushahidi kuntu. Kama hauna unaweza kufungua tu ikaishia hapo.Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.
Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
Ila kuna kitu kinaenda kutokea aminini,tutashuhudia mengi naamini hata baadhi ya wana CCM kutoka bara hawapendi kuona yakifanyika haya huku yakiwa na baraka ya Viongozi kutoka VisiwaniHuwezi mkuu hakuna sheria hiyo ni kama chadema lowasa alivyoshindwa uchaguzi wakadanganya watu wao wanaenda sijui mahakama ya africa ,hakuna kitu kama hicho
Katiba yetu ipo very clear matokeo ya uraisi tume yq uchaguzi ndio final say
Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.
Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
Hakuna kitachotokea kwa sheria hizi kwa katiba na sheria zetu raisi ni kama mungu na wananchi wa tanzania wasikudanganye huwa wamejaaliwa mdomo tuIla kuna kitu kinaenda kutokea aminini,tutashuhudia mengi naamini hata baadhi ya wana CCM kutoka bara hawapendi kuona yakifanyika haya huku yakiwa na baraka ya Viongozi kutoka Visiwani
Ahsante ndugu yangu,Haki yangu nitaipata pale nitakapoondoa uoga wa kifo,na kuwatanguliza wale wenye tamaa ya maisha ya kuzurumu wengine wakizani wataishi mileleWatanzania huwa ni waoga sana popote tulipo tunaogopa hata kumshtaki mjumbe wa nyumba 10 hata akitembea na na mkewe nyumbani kwako utasema hewala baba, na pia tuna natural ignorance na imechangiwa sana na dilution ya elimu inayofanywa na sisiemu kwenye mitaala ya kila level, ukitaka kujua angalia graduate wa sasa na wa zamani, hata kwenye majeshi pia, Tamim (RIP) halingani kabisa na magenerali wa leo, alikua captain tu wakati anakufa na kina Hans Pope uwezo wao haulinganishiki kabisa na wakubwa wa sasa. Kimsingi unaweza kumshtaki mtu yeyote popote as long as amevunja haki zako, angalia avenues na kama huwezi tafuta mwanasheria akushauri (kama wapo wasio na dilution pia), hamna mtu duniani ana nguvu ya kupora haki ya mwingine na akawa immune! Hata kama sio leo itafika muda lazima atajibu tu! Ni wewe mwenyewe tu...
Ahsante ndugu yangu,Haki yangu nitaipata pale nitakapoondoa uoga wa kifo,na kuwatanguliza wale wenye tamaa ya maisha ya kuzurumu wengine wakizani wataishi milele
Itafikia wakati kuna watu watakuwa na kiu ya kufa,yaani wanatamani wafe lakini hawatakubali kufa peke yao
Mkuu polisi wala tusiwalaumu sababu wao wanatimiza majukumu yao bosi wao kawaambia piga, sasa wao wanapiga maana wanaliza kazi yao pia, na kiapo walichokula..Nilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.
Maana tumezoe kuona watu wakiuwawq na kutupwa kwenye misitu na yaliyofanyika jana kwenye mahakama ya kisutu ni muendelezo wa ukandamizaji wa haki za raia na yanabaraka za viongo,inamaana hatuwezi kwenda kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa?
When?Hata hapa pia inawezekana kuwashitaki, baada ya ccm kung'olewa utaona mengi sana
ICC haina nguvu snNilikuwa nauliza hili kwa haya wanayoyafanya polisi ya kuwapiga raia kuwaumiza na kuwatia vilema bila sababu yoyote hakuna sehemu ambayo wanaweza kushtakiwa.