jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Sijawahi kumsikia ndio first time vipi ni mtu gani huyo
Huyu naye kama yule mwingine, ndio nini sasa kutuonyesha 'Dimples'.Mi nimfuatiliaji wa watu waliong'aa na magwiji katika nyanja mbalimbali !! Kuanzia siasa, Bongo movies had music kwa hapa nchini Tanzania!!
Sasa sijajua huyu MTU anajiita davito n nani hasa, ni star katka kada ipi maana sijaona movie ,mzki wala kada yyte ambayo anahusika!! Lakini kawa star over night!!
Nachojua ustaar unahitaji kipaji ktk kada husika
Labda wafatiliaji wa media mniambie
View attachment 379276
[emoji3] [emoji3]Halafu hawez hata kuhimil ugomvi wenyewe
Hizi ni verse au ujumbe[emoji2] [emoji2] [emoji2]petii man wakuache
udedee
aza mtoto wa kariakoo
araphat ngumi jiwe
ricardo momo
Naskia anatoka na wema pianaskia anatoka na meneja wa voda...
na mke wa meneja anajua
na kapangiwa nyumba na gari[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu,hayo yanafanyika kama maagano ya kishetani..yani hiyo ni kama sadaka!Duh!kuna watu kama wanaongozwa na shetani hv huyojamaa anakitugani kamshinda huyo mke wake mbaka anamhongo vitu vyote hivyo?
Kushinda wewe?khee mbona mzuri hivyo?
kwa kweli kanishinda hivi si wanamtongosa?Kushinda wewe?
Vivulana hivi havitaki kufanya kazi lakini vinataka kumiliki magari na majumba ya kifahari..tuvisaidie nini sasa?naskia anatoka na meneja wa voda...
na mke wa meneja anajua
na kapangiwa nyumba na gari[emoji23][emoji23][emoji23]
Olewa naekhee mbona mzuri hivyo?
Unafanyaje kubold writing iviMkuu,hayo yanafanyika kama maagano ya kishetani..yani hiyo ni kama sadaka!
Huyu ndiyeUyo n mwanaume?