Hivi huyu Davito ni nani hasa?

Hivi huyu Davito ni nani hasa?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,645
Mi nimfuatiliaji wa watu waliong'aa na magwiji katika nyanja mbalimbali !!

Kuanzia siasa, Bongo movies had music kwa hapa nchini Tanzania!!

Sasa sijajua huyu MTU anajiita davito n nani hasa, ni star katka kada ipi maana sijaona movie ,mzki wala kada yyte ambayo anahusika!! Lakini kawa star over night!!

Nachojua ustaar unahitaji kipaji ktk kada husika
Labda wafatiliaji wa media mniambie

1470858347957.jpg
 
Mi nimfuatiliaji wa watu waliong'aa na magwiji katika nyanja mbalimbali !! Kuanzia siasa, Bongo movies had music kwa hapa nchini Tanzania!!
Sasa sijajua huyu MTU anajiita davito n nani hasa, ni star katka kada ipi maana sijaona movie ,mzki wala kada yyte ambayo anahusika!! Lakini kawa star over night!!
Nachojua ustaar unahitaji kipaji ktk kada husika
Labda wafatiliaji wa media mniambie

View attachment 379276
Huyu naye kama yule mwingine, ndio nini sasa kutuonyesha 'Dimples'.
 
Back
Top Bottom