jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Mi nimfuatiliaji wa watu waliong'aa na magwiji katika nyanja mbalimbali !!
Kuanzia siasa, Bongo movies had music kwa hapa nchini Tanzania!!
Sasa sijajua huyu MTU anajiita davito n nani hasa, ni star katka kada ipi maana sijaona movie ,mzki wala kada yyte ambayo anahusika!! Lakini kawa star over night!!
Nachojua ustaar unahitaji kipaji ktk kada husika
Labda wafatiliaji wa media mniambie