Hivi huyu Davito ni nani hasa?

Hivi huyu Davito ni nani hasa?

Kuna mmoja alifariki alikuwa maarufu sana sijui alikuwa anajishughulisha na nini akiitwa Kaloosh.
Kwa umaarufu wake wengine tulidhani ni bilionea anaishi maisha mazuri lakini baada ya kuona msibani wengine tulisikitika sana.

Hivi unakuwaje maarufu Instagram na facebook wakati kiuhalisia una ungaunga maisha. Tusipende kuamini sana hizi picha za photoshop zinazowekwa kwenye social media.



sasahuyu analamba lips kama mtoto wa kike kwakweli siwezi kumuweka kundi moja na sisi vishababi
 
Huyo partner wake anaitwa deo mpka jina la fb ninalo, nitalitafuta vzur nimuanike, looh kwanza huo mgahawa walifunguliwa na mzungu mzee mmoja hiv namjua vzur, sasa hyo deo cjui wivu au kitu gan kaamua kumuua mwenzie, huyo deo ukimuona mpole huwez kuamini
Doh binamu rudi kwenye ubora wako.
 
Mi nimfuatiliaji wa watu waliong'aa na magwiji katika nyanja mbalimbali !!

Kuanzia siasa, Bongo movies had music kwa hapa nchini Tanzania!!

Sasa sijajua huyu MTU anajiita davito n nani hasa, ni star katka kada ipi maana sijaona movie ,mzki wala kada yyte ambayo anahusika!! Lakini kawa star over night!!

Nachojua ustaar unahitaji kipaji ktk kada husika
Labda wafatiliaji wa media mniambie

View attachment 379276
Mwanaume akijichora maua jua ni maua kama ule msemo wa mwanamke ni ua la kupamba nyumba
 
Huyu ni shoga maarufu ni kundi moja nakina Noel kuna ka grocery flan kalikua mbele kidogo ya wangama hotel ile rougj toad ndo palikua makutano yao kwakaida huongozana na masupa star mana wanategemeana wanaletewa vifwa na hao masupa star na wao wanatafutiwa wanaume na hao msupa star ndo mana unaoana alipo shoga bas ujue supar star yko nyma
 
Back
Top Bottom