Kuna mmoja alifariki alikuwa maarufu sana sijui alikuwa anajishughulisha na nini akiitwa Kaloosh.
Kwa umaarufu wake wengine tulidhani ni bilionea anaishi maisha mazuri lakini baada ya kuona msibani wengine tulisikitika sana.
Hivi unakuwaje maarufu Instagram na facebook wakati kiuhalisia una ungaunga maisha. Tusipende kuamini sana hizi picha za photoshop zinazowekwa kwenye social media.
sasahuyu analamba lips kama mtoto wa kike kwakweli siwezi kumuweka kundi moja na sisi vishababi