titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Mkuu kwa kabila langu hyo expression ni ya kawaida sana ila ngoja nirekebishe kuondoa sintofahamu.Mkuu hili neno "chaa" linatumika sana na upande wa pili sina uhakika kama we ni wa kwa msuguri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa kabila langu hyo expression ni ya kawaida sana ila ngoja nirekebishe kuondoa sintofahamu.Mkuu hili neno "chaa" linatumika sana na upande wa pili sina uhakika kama we ni wa kwa msuguri
Huyo jamaa tetesi ni gay... Kwao ni songea alisoma Ruhuwiko secondary shule ya jeshi. Jina lake ni david
Chuo alikuwa ifm?Huyo jamaa tetesi ni gay... Kwao ni songea alisoma Ruhuwiko secondary shule ya jeshi. Jina lake ni david
Huko insta anatumia jina gani
Mkuu mie kwa kabila langu hyo expression ni ya kawaida sana ila ngoja nirekebishe kuondoa sintofahamu.
Hahaha.its done mkuuHalafu badala ya "mie" tumia mimi ili kuondoa sintofahamu
Anatumia SaydavtoHuko insta anatumia jina gani
Neno "CHAA" ni identity ya watu wa masasi hicho ni kikolombwezo cha mshangao kama "mwee,Khaa,Duuh,yesu na maria,Yereww,Loh,Aisee..!!!!!!"Mkuu hili neno "chaa" linatumika sana na upande wa pili sina uhakika kama we ni wa kwa msuguri
Ni wa kike huyo?khee mbona mzuri hivyo?
ndiyo mkuuNi wa kike huyo?
naskia anatoka na meneja wa voda...
na mke wa meneja anajua
na kapangiwa nyumba na gari[emoji23][emoji23][emoji23]