Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu ni double impactNimemsikia sana huyu jamaa lakini nimekuwa na wasiwasi kama ni professional psychologist. Namuona kama ni motivational speaker hivi.
Naomba kujua wasifu wa elimu yake.
Alafu Sasa mke wangu anamkashofu sana jamaa kila akimuona, basi nafurahi. Inauma sana,ugundue Mke wako anamkubali huyo jamaa[emoji3][emoji3][emoji3]Bila shaka ni kipenzi cha mkeo, inakera hiyo!
motivational Speaker..clearNimemsikia sana huyu jamaa lakini nimekuwa na wasiwasi kama ni professional psychologist. Namuona kama ni motivational speaker hivi.
Naomba kujua wasifu wa elimu yake.
Alafu Sasa mke wangu anamkashofu sana jamaa kila akimuona, basi nafurahi. Inauma sana,ugundue Mke wako anamkubali huyo jamaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Povu lote la nini? Mi nimeuliza kujua CV ya jamaa. Na kiukweli huwa namuona anaongea kama mshauri nasaha na si professional psychologist. Kumbe ana Phd ya saikolojia, nashukuru kunijuza.Mauki ana PHD ya saikolojia,halafu wewe usie nayo eti unahoji mwenye nayo?
Ignorant people are so arrogant mpaka mnaumiza macho ya msomaji kabisa!
Utasikia ooh nina confidence and blah blah kibao,kumbe hujui confidence ni excuse ya ignorant person for the lack of intelligence!
Yaani...
Hahah yani jamaa kwenye lecture yake hutamani kumiss ilikiwa. Kwakweli aliifanya course kuwa lainiNadhan vyote viwili...alinifundisha course inaitwa guidance and counseling pale ud...ukimsikiliza speech zake utasema hajawahi chepuka maisha mwake...Ila waja waliwahi kufunguka huko instagram....nikasema kumbe hata paradise kunakuwaga na matatizo eeh!!