Hivi huyu Dr. Chriss Mauki ni mwanasaikolojia au ni motivational speaker?

Hivi huyu Dr. Chriss Mauki ni mwanasaikolojia au ni motivational speaker?

Huyu shoga aliwahi kuwadiss wanaume eti hawana kazi za kufanya wanakaa tu nyumbani kisa yeye anajifanya mwanautopolo na ana kazi UDSM, huyu shoga hana lolote alipata anguko sana na watu waka unfollow mitandao yakoe karibu yote
Sawa alikukera Ila sio shoga jamani
 
Ni Mjasiriamali anayejiingizia kipato kupitia maneno maneno..
 
Povu lote la nini? Mi nimeuliza kujua CV ya jamaa. Na kiukweli huwa namuona anaongea kama mshauri nasaha na si professional psychologist. Kumbe ana Phd ya saikolojia, nashukuru kunijuza.
ntajie mfano wa professional psychologist nikawasikilize
 
Ndugu zangu sisemi uongo [emoji3][emoji3][emoji3].. mtoto ni mnono haswaaa.. mambo mengine ni ya kambini.. alifundishwa na kijana wangu mambo ya interiol design.. na ndio kijana wangu akacheza kama zinedine zidane [emoji204][emoji204] mauki anashauri shauri watu, wakati tukitaka kupoza kiporo simu moja tu kwa pisi yake.. team kabudi hapa naongea..
Extrovert Hplp2275H
kwa hiyo unasema kwamba muuza supu ya pweza kagongewa [emoji3][emoji3]
 
Huyu shoga aliwahi kuwadiss wanaume eti hawana kazi za kufanya wanakaa tu nyumbani kisa yeye anajifanya mwanautopolo na ana kazi UDSM, huyu shoga hana lolote alipata anguko sana na watu waka unfollow mitandao yakoe karibu yote
jamaa ni shoga kumbe
 
Wabongo mna nongwa sana!

Wivu na majungu vitawaua ninyi waswahili.

Ukijumlisha na uchawi mlonao... loh loh loh....

Sasa hapo jamaa ana kosa gani?

Kosa lake ni kutumia elimu yake kuwapa watu maarifa?

Wengi wenu hata huyo Mauki hamumjui, lakini mnashabikia tu!

Jameni! Tutumie mitandao kwa busara bila kuumiza na kuharibu taswira za watu!

[emoji106]
 
ni mmojawapo ya watu niliowadharau sana, pamoja na mkewe ambaye zamani nilikuwa na sikiliza nyimbo zake lakini simu alipokuja kupost kuwa asubuhi walikuwa wamefurahia unyumba na bwanake nikawadharau wote nikaona malimbukeni tu.

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom