Hivi huyu Dr. Chriss Mauki ni mwanasaikolojia au ni motivational speaker?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Nimemsikia sana huyu jamaa lakini nimekuwa na wasiwasi kama ni professional psychologist. Namuona kama ni motivational speaker hivi.

Naomba kujua wasifu wa elimu yake.
 
Kwa kweli nami sijui background yake ila naona anakazana kuvuruga mahusiano ya watu!

Maana kuna mtu alikuwa anapitia changamoto kwenye ndoa kisa mke anamsikiliza sana huyu jamaa na mme hana lolote la maana tena la kusema kwenye ndoa.

hatari sana!
 
Nadhan vyote viwili...alinifundisha course inaitwa guidance and counseling pale ud...ukimsikiliza speech zake utasema hajawahi chepuka maisha mwake...Ila waja waliwahi kufunguka huko instagram....nikasema kumbe hata paradise kunakuwaga na matatizo eeh!!
 
Povu lote la nini? Mi nimeuliza kujua CV ya jamaa. Na kiukweli huwa namuona anaongea kama mshauri nasaha na si professional psychologist. Kumbe ana Phd ya saikolojia, nashukuru kunijuza.
 
Hahah yani jamaa kwenye lecture yake hutamani kumiss ilikiwa. Kwakweli aliifanya course kuwa laini
 
Ndugu zangu sisemi uongo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. mtoto ni mnono haswaaa.. mambo mengine ni ya kambini.. alifundishwa na kijana wangu mambo ya interiol design.. na ndio kijana wangu akacheza kama zinedine zidane 🐡🐡 mauki anashauri shauri watu, wakati tukitaka kupoza kiporo simu moja tu kwa pisi yake.. team kabudi hapa naongea..
Extrovert Hplp2275H
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…