Hivi huyu Dr. Chriss Mauki ni mwanasaikolojia au ni motivational speaker?

Huyu shoga aliwahi kuwadiss wanaume eti hawana kazi za kufanya wanakaa tu nyumbani kisa yeye anajifanya mwanautopolo na ana kazi UDSM, huyu shoga hana lolote alipata anguko sana na watu waka unfollow mitandao yakoe karibu yote
Sawa alikukera Ila sio shoga jamani
 
Ni Mjasiriamali anayejiingizia kipato kupitia maneno maneno..
 
Povu lote la nini? Mi nimeuliza kujua CV ya jamaa. Na kiukweli huwa namuona anaongea kama mshauri nasaha na si professional psychologist. Kumbe ana Phd ya saikolojia, nashukuru kunijuza.
ntajie mfano wa professional psychologist nikawasikilize
 
kwa hiyo unasema kwamba muuza supu ya pweza kagongewa [emoji3][emoji3]
 
Huyu shoga aliwahi kuwadiss wanaume eti hawana kazi za kufanya wanakaa tu nyumbani kisa yeye anajifanya mwanautopolo na ana kazi UDSM, huyu shoga hana lolote alipata anguko sana na watu waka unfollow mitandao yakoe karibu yote
jamaa ni shoga kumbe
 

[emoji106]
 
Nimemsikia sana huyu jamaa lakini nimekuwa na wasiwasi kama ni professional psychologist. Namuona kama ni motivational speaker hivi.

Naomba kujua wasifu wa elimu yake.
tapeli tu
 
ni mmojawapo ya watu niliowadharau sana, pamoja na mkewe ambaye zamani nilikuwa na sikiliza nyimbo zake lakini simu alipokuja kupost kuwa asubuhi walikuwa wamefurahia unyumba na bwanake nikawadharau wote nikaona malimbukeni tu.

[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…