February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Nani uyuHizi ndio biashara, kwa hiyo business sio izzo...
Sio masihara, huwa siigizi hata kwenye igizo...
Dizasta huyo, vipi umezikubali rythms?Nani uyu
Tutake laziOya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa.
Hivi hii ndio finest yenu?
Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa??
Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani?
Kuna mtu anamuelewa kabisa huyu jamaa wa kujiita maarifa?
Tutake lazi
KaliDizasta huyo, vipi umezikubali rythms?
Vipi? Mnae finer kuliko huyo?Tutake lazi
Haihitaji hata kuwa mwathirika wa tamaduni.Ukiwa mwathirika wa tamaduni music,huyu dogo utaona anaimba madabwada tu
Sasa nilikudangayaKali
Namm nilikudanganya sikumalizia..Sasa nilikudangaya
Huyo ni Maarifa na huu ndio ukweli
Umeletewa wapi?Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa.
Hivi hii ndio finest yenu?
Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa??
Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani?
Kuna mtu anamuelewa kabisa huyu jamaa wa kujiita maarifa?
Tuna wengi mnooVipi? Mnae finer kuliko huyo?
WatajeTuna wengi mnoo
Nliletewa kwenye sahani.Umeletewa wapi?
Kibaha ilikaa ikamchagua?
Hebu tuone picha/video yake
Sasa kama ulinidanganya ebu nipe umendelezo wa hiyo verse ili nijue kama kweli hiyo ngoma unaifahamuNamm nilikudanganya sikumalizia..
Kaliharibu verse
Na huo ndio ukweli
Nlisikiaga tu hapo, sikuwa na haja ya kuendelea kusikiliza utumboSasa kama ulinidanganya ebu nipe umendelezo wa hiyo verse ili nijue kama kweli hiyo ngoma unaifahamu
Hata jina la ngoma probably huijui
Ahaaa kumbe kuna mtu nyuma yakeUyu msanii wa madee kiukweli hana maajabu japo Madee anampambania aswaa
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app