Hivi huyu jamaa wa kujiita maarifa anaimba nini?

Hivi huyu jamaa wa kujiita maarifa anaimba nini?

Hizi ndio biashara, kwa hiyo business sio izzo...

Sio masihara, huwa siigizi hata kwenye igizo...
 
Ukiwa mwathirika wa tamaduni music,huyu dogo utaona anaimba madabwada tu
 
Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa.
Hivi hii ndio finest yenu?
Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa??

Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani?
Kuna mtu anamuelewa kabisa huyu jamaa wa kujiita maarifa?
Umeletewa wapi?
Kibaha ilikaa ikamchagua?
Hebu tuone picha/video yake
 
Umeletewa wapi?
Kibaha ilikaa ikamchagua?
Hebu tuone picha/video yake
Nliletewa kwenye sahani.
images-50.jpeg
 
Namm nilikudanganya sikumalizia..
Kaliharibu verse

Na huo ndio ukweli
Sasa kama ulinidanganya ebu nipe umendelezo wa hiyo verse ili nijue kama kweli hiyo ngoma unaifahamu

Hata jina la ngoma probably huijui
 
Sasa kama ulinidanganya ebu nipe umendelezo wa hiyo verse ili nijue kama kweli hiyo ngoma unaifahamu

Hata jina la ngoma probably huijui
Nlisikiaga tu hapo, sikuwa na haja ya kuendelea kusikiliza utumbo
 
Back
Top Bottom