Mkuu CHIEMBE, mbona una mawazo ya kugombea fito wakati tunajenga nyumba moja? Achana na mawazo mgando. Tuna ihitaji TLS huru ba iliyo bora, hasa sisi wakulima wa huku Tandahimba, Mbalari na kwingoneko nchini.Kwani watu wakiamua kumchekecha atatoboa? Anadhani wote wa TLS ni chadema? TLS itabomolewa na itakuwa mapande mawili yanayosigana
tena mdau mwerevuHuyo ni mdau
Hata wawe wapumbavu vipi, hawawezi kuzidi upumbavu wako!mawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Mbeya pazuri pa hovyo bora mwailubiJioni ni mwendo wa kula bia kupongezana
Hata hivyo uwepo wa mwambukusi umechangamsha sana uchaguzi wa mwaka huu ni kama kipindi kile Tundu lisu alipo gombeamawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Mawakili sio wapumbafu Kama wewe hao Ni wasomimawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Sipajui vizuri mkuu, tafuta sehemu lamba chupa 3 kapumzike ajili ya jumuhia keshoMbeya pazuri pa hovyo bora mwailubi
Nyie mademu mnaonea wivu siku hizi hata wanaume. Kama vipi mwambie Mwabukusi akuchukue wewe
Kwa kuwa yeye si mwanataalumamawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Una hasira zilizochanyanyika na stress dogo.mawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Sasa ukiona amechaguliwa ujue mawakili Tz ni wehu so wameamua kumchagua mwehu mwenzao awaongoze . Unapata shida gani wehu wakichaguana?Yule bwana ni mwehu na ana tatizo la afya ya akili