Hivi huyu kijana wa CHADEMA ni msaidizi wa Mwabukusi? Ameenda Dodoma kama nani wakati sio wakili?

Hivi huyu kijana wa CHADEMA ni msaidizi wa Mwabukusi? Ameenda Dodoma kama nani wakati sio wakili?

M
Kwani watu wakiamua kumchekecha atatoboa? Anadhani wote wa TLS ni chadema? TLS itabomolewa na itakuwa mapande mawili yanayosigana
Mkuu CHIEMBE, mbona una mawazo ya kugombea fito wakati tunajenga nyumba moja? Achana na mawazo mgando. Tuna ihitaji TLS huru ba iliyo bora, hasa sisi wakulima wa huku Tandahimba, Mbalari na kwingoneko nchini.
 
HUYO KIJANA ANA KIMBELE MBELE KUPITILIZA NI KAKIJANA FULANI KAFUASI CHA CHADEMA!, TUKISEMA CHADEMA WAMEPOTEANA NI NGUMU SANA KUELEWA, MAANA HAKUNA LA KULIPIGANIA YOTE MAZURI YANAFANYIKA, MAENDELEO YANAONEKANA WAZIWAZI, KILA PAHALA.
 
Macho ya Mwabukusi kama Askari kaona mwizi au jambazi
 
mawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Hata hivyo uwepo wa mwambukusi umechangamsha sana uchaguzi wa mwaka huu ni kama kipindi kile Tundu lisu alipo gombea
 
Mwanaume akishaliwa tako hata akiona marafiki anakumbuka alivoliwa yeye
 
Dunia ya sasa wavulana mnaonea wivu kisa mvulana mwenzio yuko na mwanaume.






KAZI ni kipimo cha UTU
 
mawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Una hasira zilizochanyanyika na stress dogo.
Watakakachomua mawakili si tutaheshimu
 
Back
Top Bottom