M
Mkuu CHIEMBE, mbona una mawazo ya kugombea fito wakati tunajenga nyumba moja? Achana na mawazo mgando. Tuna ihitaji TLS huru ba iliyo bora, hasa sisi wakulima wa huku Tandahimba, Mbalari na kwingoneko nchini.Kwani watu wakiamua kumchekecha atatoboa? Anadhani wote wa TLS ni chadema? TLS itabomolewa na itakuwa mapande mawili yanayosigana