Hivi huyu Macron anatutaka nini sisi Waafrika?

Hivi huyu Macron anatutaka nini sisi Waafrika?

Yuko sahihi Africa wanatumiliwa ni mataifa ya ulaya na magharibi lakini halikdhalika putin., njaa ndio shida katika hili
 
Yuko sahihi Africa wanatumiliwa ni mataifa ya ulaya na magharibi lakini halikdhalika putin., njaa ndio shida katika hili
Vita ya Ukraine haituhusu, tunamatatizo mengi yanataka tuyasolve kwanza before hatuangalia Ukraine, wamemuuwa Gadafi alietaka kuanzisha African Currency, unafkiri viongozi wa Africa hawakuumia? Maana misaada mingi ilikua inatoka Libya na mikopo, yaaani mpaka vikao vya AU alikua akifadhili yeye, bado tuna kovu kubwa la hawa ngurue weupe na hatutosahau wala kusamehe
 
Back
Top Bottom