Hivi huyu Macron anatutaka nini sisi Waafrika?

Mbona hamjakemea Libya ambae pia ni Muafrika mwenzenu aliekua anawafadhili mpaka vikao vya AU, yaani mje mtetee wazungu ambao hawawahusu ? Yaani nyie tim nato weusi ni watu wa ajabu sana, akili zenu hazina tofauti na huyo rais wa Ukraine
Ni makalio hao
 
Nan alipaswa kuwa wa kwanza kukemea kuhusu Libyia , umoja wa afrika , umoja wa ulaya au umoja wa kimataifa ?
 
Uvamizi wa Iraq, Libya, Ukoloni,mauaji ya viongozi wa Africa wao wamekemea?
tumia akili , umoja wa hayo mabara husika uliwai kukemea ? yaan nije kwako nadai nyiny mnaitaj msaada wakat wanafamilia wapo kimya hawajasema km kuna ttzo ndan ya nchi
 
mbona hawakuwai kuongea chochote ? unafiki ndo unaliua bara la Afrika
 
Naona bwana "Macarioni" amemaindi wahuni wa Africa kula Buyu wakati wao wakiendelea kuchezea nakoz toka kwa Mrusi.
ss mngesaidia nini kweny hiyo vita ? wakitaka chochote Afrika wanapata kuda wwte , sbr wamalizan na Urusi , Afrika hakutakalika tena
 
Ama kweli umasikini ni laana. Kwahyo kipindi hicho wanaivamia libaya tulivyokaa kimya aliona ni sawa ila Sasa kwa sababu mwana kulifind mwana kulipata linawashinda wanatafuta huruma nyepesi
kwann mlikaa kimya ? mm shulen nlifundishwa Ghadaf ni dikteta na hili swali lilikuja mpk kwenye mitihani ya Mock mkoa , ss sijui tunawalaumu nini wazung kwa kumtoa Dikteta
 
Kasema ukweli
 
Huyu ingekuwa enzi za akina Nyerere, Khurumah, Samora, Mandela nk angepewa makavu yake live na asingerudia upuuzi wake.

Sasa kama kweli wana huruma kwa nn hatukuiona kwa raia wa Libya, Iraq,Afghanistan nk.Mandela alishawapaga makavu live kwamba "usilazimishe adui yako awe adui yangu........".
 
kwann mlikaa kimya ? mm shulen nlifundishwa Ghadaf ni dikteta na hili swali lilikuja mpk kwenye mitihani ya Mock mkoa , ss sijui tunawalaumu nini wazung kwa kumtoa Dikteta
Ok sasahivi dikteta hayupo, vp hali Yao huko?
 
Huyu rais analalamika mno, anadhani waafrika ni wajinga sana

Tunajua walioanzisha hiuo vita ni NATO
 
Africa wanafiki ila sijawahi sikia kwa hisani ya watu wa Russia
Huwezi kusikia maana Russia Hana alichokuibia right from ukoloni Hadi Leo...yeye(Russia) anataka utumie rasilimali zako mwenyewe kwa maendeleo yako. Not like others wanaokupa huku wakikuibia.
 
Huwezi kusikia maana Russia Hana alichokuibia right from ukoloni Hadi Leo...yeye(Russia) anataka utumie rasilimali zako mwenyewe kwa maendeleo yako. Not like others wanaokupa huku wakikuibia.

Nimekuelewa vizuri sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…