Hivi huyu mama Mwarabu bado yupo Mabibo Hostel?

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu kwenye mgahawa wake hakuna kitafunwa ambacho kilikuwa kinakosekana pale yeye alikuwa hauzi ubwabwa wala ugali ni vitafunio tu.Sijui huyu mama yupo mpaka sasa?
 
Mama Mwarabu sijamkuta mitaa ile nilienda kuchapa ripoti zangu maeneo hayo nikajisemea ngoja niende kutafuta Kibajaj kwa Mama Mwarabu nikakuta patupu hayupo ila huduma zile zileeeeeee zinaendelea kutolewa japo kwa kusua sua
 
Ni kwamba aliondoka kabisa au huo mgahawa unaousema ni wa nani
 
Ilishapata uteuzi sasa ni DED wilaya fulani hv Kaskazini mwa Tanzania
Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu kwenye mgahawa wake hakuna kitafunwa ambacho kilikuwa kinakosekana pale yeye alikuwa hauzi ubwabwa wala ugali ni vitafunio tu.Sijui huyu mama yupo mpaka sasa?
I
 
EvilSpirit! Naomba niombe radhi la sivyo yatakukuta mambo ya fedheha kuliko yaliyokukuta last week!
 
Kino kuna bi farashuu, mnakula gizani chips yai tu hauzi kingine.
Kimbembe mi nikauliza alete mishkaki au kuku.
Nilikoga mitusi nikamwagiwa na beseni la maji watu wamenawa.
Sikwenda tena.
Bana eeh kulikua na pisi kali pale meeting point.
Imeenda ikajua itanikuta si ikaambiwa nimekufa na ngoma.🥲ikalia ikasahau.
Siku mi natoka zangu obay kuja Morocco mitaa ya bestbite pisi hii hapa.
E bana alitoka baru na ni kipande hivi🤣🤣🤣.
Anafkiri mi mzuka,
Upuuzi sasa na mimi nakimbizana nae.
Mpaka namkamata kuna kamlima pale ndo ananiambia niache mi najua umekufa?
Ndo kumkalisha pale airtel mgahawani kuanza kuelezea mpk kunielewa ilichukua muda sana.
Ndo kusimulia kaambiwa na yule bi kizee.
 
Kwahio maiti ulinyandua huyo kipande wako tena🤣🤣
 
Fanya ukamtembelee bibi wa kiarabu nae ukule🤣🤣
Sijui km yupo,kalikua kabibi flani kametumika sana enzi za ndekule ngoma ya ukae.
Ila kana mshumbwanda balaa😅😅😅
Yaani akifungua mi nipo hapo kwake tunakula viepe huyo natimka.
Tatizo ugomvi nilipouliza mishkaki
 
Back
Top Bottom