Hivi huyu mama Mwarabu bado yupo Mabibo Hostel?

Hivi huyu mama Mwarabu bado yupo Mabibo Hostel?

Alikuwaga na kidduka cha vitafunwa posts are nadhani ni mkwepu pia, but vibanda vilipo ondolewa naye wakawa. Wahanga pamoja na mume we, kama walihamia sin a sehemu fulani, ila maisha yaliwapiga
 
Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu kwenye mgahawa wake hakuna kitafunwa ambacho kilikuwa kinakosekana pale yeye alikuwa hauzi ubwabwa wala ugali ni vitafunio tu.Sijui huyu mama yupo mpaka sasa?
Enzi zenu ndo miaka gani?
 
Alikuwaga na kidduka cha vitafunwa posts are nadhani ni mkwepu pia, but vibanda vilipo ondolewa naye wakawa. Wahanga pamoja na mume we, kama walihamia sin a sehemu fulani, ila maisha yaliwapiga
Mama mwarabu sio wa mabibo hostel?
 
Sasa hilo ni swala la kuanzisha uzi umeshindwa kuuliza watu waliopo hapo kwa simu au wanafunzi mpaka unakuja huku basi sawa tumeshajua umesoma udsm kwa wahitimu feki wanaotutia hasara kila siku na mikataba mibovu.
 
Kino kuna bi farashuu, mnakula gizani chips yai tu hauzi kingine.
Kimbembe mi nikauliza alete mishkaki au kuku.
Nilikoga mitusi nikamwagiwa na beseni la maji watu wamenawa.
Sikwenda tena.
Bana eeh kulikua na pisi kali pale meeting point.
Imeenda ikajua itanikuta si ikaambiwa nimekufa na ngoma.🥲ikalia ikasahau.
Siku mi natoka zangu obay kuja Morocco mitaa ya bestbite pisi hii hapa.
E bana alitoka baru na ni kipande hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Anafkiri mi mzuka,
Upuuzi sasa na mimi nakimbizana nae.
Mpaka namkamata kuna kamlima pale ndo ananiambia niache mi najua umekufa?
Ndo kumkalisha pale airtel mgahawani kuanza kuelezea mpk kunielewa ilichukua muda sana.
Ndo kusimulia kaambiwa na yule bi kizee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah, nimekumbuka kitu hapa.
 
Back
Top Bottom