EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ni kwamba aliondoka kabisa au huo mgahawa unaousema ni wa naniMama Mwarabu sijamkuta mitaa ile nilienda kuchapa ripoti zangu maeneo hayo nikajisemea ngoja niende kutafuta Kibajaj kwa Mama Mwarabu nikakuta patupu hayupo ila huduma zile zileeeeeee zinaendelea kutolewa japo kwa kusua sua
Nani mimi?labda ulimuekea fitina
IEnzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu kwenye mgahawa wake hakuna kitafunwa ambacho kilikuwa kinakosekana pale yeye alikuwa hauzi ubwabwa wala ugali ni vitafunio tu.Sijui huyu mama yupo mpaka sasa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌 AiseeNdio wewe, kwa fitna nasikia hujambo.
Zamani sio sasaNdio wewe, kwa fitna nasikia hujambo.
Humu jf kuna wahuni kama wote na wewe ni mmoja wa wahuni haoIlishapata uteuzi sasa ni DED wilaya fulani hv Kaskazini mwa Tanzania
I
Tunatumia DOS baba picha haziwezekanikiIlishapata uteuzi sasa ni DED wilaya fulani hv Kaskazini mwa Tanzania
I
Ilikuwaje hiyo last weekEvilSpirit! Naomba niombe radhi la sivyo yatakukuta mambo ya fedheha kuliko yaliyokukuta last week!
Kwahio maiti ulinyandua huyo kipande wako tena🤣🤣Kino kuna bi farashuu, mnakula gizani chips yai tu hauzi kingine.
Kimbembe mi nikauliza alete mishkaki au kuku.
Nilikoga mitusi nikamwagiwa na beseni la maji watu wamenawa.
Sikwenda tena.
Bana eeh kulikua na pisi kali pale meeting point.
Imeenda ikajua itanikuta si ikaambiwa nimekufa na ngoma.🥲ikalia ikasahau.
Siku mi natoka zangu obay kuja Morocco mitaa ya bestbite pisi hii hapa.
E bana alitoka baru na ni kipande hivi🤣🤣🤣.
Anafkiri mi mzuka,
Upuuzi sasa na mimi nakimbizana nae.
Mpaka namkamata kuna kamlima pale ndo ananiambia niache mi najua umekufa?
Ndo kumkalisha pale airtel mgahawani kuanza kuelezea mpk kunielewa ilichukua muda sana.
Ndo kusimulia kaambiwa na yule bi kizee.
Tumekimbizana karudi mwenyewe nyuma. Tukaenda gheto kwake maiti nikala mzigo tena😆😅Kwahio maiti ulinyandua huyo kipande wako tena🤣🤣
Fanya ukamtembelee bibi wa kiarabu nae ukule🤣🤣Tumekimbizana karudi mwenyewe nyuma. Tukaenda gheto kwake nikala mzigo tena😆😅
Sijui km yupo,kalikua kabibi flani kametumika sana enzi za ndekule ngoma ya ukae.Fanya ukamtembelee bibi wa kiarabu nae ukule🤣🤣