Hivi huyu Mario ni nani?

Hivi huyu Mario ni nani?

Yaan ukipigwa wimbo wa "mama Amina" nisiitikie hata kimoyo moyo hapana sio mie lol. [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Unanionea​

Marioo

Hivi kweli yupo
Mwenye roho mbaya kukushinda
Maana mi sijaona Duniani
Hivi kweli yupo
Aso na haya kukushinda

Maana mie sijaona sijaona
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake
Ni kumponya, nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua mi kwako ndo napona,
We nihurumie

Mi najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea Nimekuzoea mmmh


Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa mmmmh
Na kama kuachana nakubali
Sawa fanya yako

Ila sio lazima unionyeshe uniumize
Au kisa unajua
Unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe Unilize eeeh
Ah poa poa,
Nishajua vya utamu Vinakuwaga vya…
Umetisha sana
 
wasanii kama marioo hawapewi spotlight wanayostahili sababu ya uteam na kutokuendekeza kiki za kipuuzi ili aonekane star. Marioo yupo vizuri
Apewe sportlight na nani?
 
Back
Top Bottom