Hivi huyu mtoto wa Museveni dishi lake limeyumba nini?

Hivi huyu mtoto wa Museveni dishi lake limeyumba nini?

1743040030995.jpeg
 
Huyu Kaneirugaba naona kama vile hazijamkaa sawa kichwani!


View: https://youtu.be/geBJ2Qb-ytM?si=W_d1_OSATPupROkp

 
Huyu jamaa ni aidha kuna kitu huwa anatumia kinamfanya abwabwaje hovyo au ana akili timamu ila anakusudia tu kuchekesha watu

Kuna kipindi alisema anaandaa jeshi ili akaiteke Nairobi ndani ya masaa mawili, hivyo serikali ya Kenya ijiandae🤣

Anajitoa ufahamu...
 
Wabongo Kwa kusikia hamjambo, kila jambo utasikia eti nimesikia
Hali inavokua mbaya na sisi tulivosikia hapa jamaa alivosikia tukifika kijiweni nasisi tunasema "nimesikia .." kwahiyo zoezi la kusikia linaendelea kwa kasi🤣
 
Back
Top Bottom