Hivi huyu mtoto wa Trump (X Æ A-12) ana umuhimu gani kwenye misafara ya know Trump?

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
Wakuu na wajuzi wa mambo Nyani Ngabu , Mayor Quimby Kiranga I huyu mtoto wa Elon Musk ana umuhimu gani kwenye shughuli za Trump maana kwenye ziara nzito za Trump na yeye huwa yupo tu. Naomba kujuzwa
IMG-20250529-WA0013.jpg

Elon Musk, kushoto, akizungumza kama mwanawe, X Æ A-12, na Rais wa Marekani Donald Trump wakisikiliza katika Ofisi ya Oval ya Ikulu ya White House huko Washington, DC, Februari 11, 2025
 
Wakuu na wajuzi wa mambo Nyani Ngabu , Mayor Quimby Kiranga I huyu mtoto wa Elon Musk ana umuhimu gani kwenye shughuli za Trump maana kwenye ziara nzito za Trump na yeye huwa yupo tu. Naomba kujuzwa
View attachment 3349898

mtoto wa mwisho wa trump si anaitwa baron au?
 
Always find X tokea primary tunaitafuta X hadi leo hatujaipata ,Elon Musk mwenyewe kachemka hadi ameamua kumpa mwanae jina la X
 
Wakuu na wajuzi wa mambo Nyani Ngabu , Mayor Quimby Kiranga I huyu mtoto wa Elon Musk ana umuhimu gani kwenye shughuli za Trump maana kwenye ziara nzito za Trump na yeye huwa yupo tu. Naomba kujuzwa
View attachment 3349898
Elon Musk, kushoto, akizungumza kama mwanawe, X Æ A-12, na Rais wa Marekani Donald Trump wakisikiliza katika Ofisi ya Oval ya Ikulu ya White House huko Washington, DC, Februari 11, 2025
Ni mtoto binadamu au mtoto wa AI, sasa jina gani hilo X AE A-12?
 
GIF_5_0.gif

Don't let the kid distract you. Focus on the two men. Prophecy fulfilling right before our eyes! Such an exciting time to be alive! !
 
Back
Top Bottom