Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwani jina lake na kila sehemu lina kazi gani na mpaka uganda na nchi zengine tuna msikia.Akikujubu nitag
Kwani jina lake na kila sehemu lina kazi gani na mpaka uganda na nchi zengine tuna msikia.Akikujubu nitag
Ww unachanganya mambo, hilo jina pamoja na hiyo picha uliyoiweka n mtoto wa Musk na sio TrumpJina lake ni hilo
X Æ A-12
Umeshawahi kuiona sura yake?Kwan Abdul anaumuhimu gani Mpaka atumike kwenye mambo fulani fulani hapo Twenzania
Sijawahi ila namskia akitajwa mitandaoni Huko, hata hvy mm siishi TwenzaniaUmeshawahi kuiona sura yake?
Abdul Æ A-12Itakuwa nae anaandaliwa kuwa Abdul