Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

Rosemin

Member
Joined
May 21, 2023
Posts
70
Reaction score
532
Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee

Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani ila mimi kiunafiki nikajifanya nalia na kumuomba msamaha sasa yaani imekuwa wimbo kila aiku mpaka nachoka na najuta kwanini nilimuoa huyu binti wa kinyantuzu

Hala yeye nimembadilisha dini na kuwa muislamu ila sasa bwana yeye kutwa kuimba na kusikiliza nyimbo za kisabato na kuangalia chaneli za akina mwamposa mpaka najuta ila sema uzuri sijazaa nae wala kumpa ujauzito

Naombeni ushauri jinsi.ya kumtoa hapa na kumpotezea mazima
 
IMG_1225.jpg
 
Mada hazihusiani uislamu na ukristo hauhusiki kwenye ugomvi wenu kama ulimbadilisha kwa ajili ya kuoana hilo usilaumiu

Yangeeni yameshindikana tupa kule , tusichelewe sana
 
Mnyantuzu....wasukuma wa Bariadi hao. Tayari ushapigwa kitu!
 
Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee

Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani ila mimi kiunafiki nikajifanya nalia na kumuomba msamaha sasa yaani imekuwa wimbo kila aiku mpaka nachoka na najuta kwanini nilimuoa huyu binti wa kinyantuzu

Hala yeye nimembadilisha dini na kuwa muislamu ila sasa bwana yeye kutwa kuimba na kusikiliza nyimbo za kisabato na kuangalia chaneli za akina mwamposa mpaka najuta ila sema uzuri sijazaa nae wala kumpa ujauzito

Naombeni ushauri jinsi.ya kumtoa hapa na kumpotezea mazima
Kuna makabila hapa Tz wanatakiwa waoane kabila kwa kabila hilo hilo, mfano huyo mnyantuzu anatakiwa kuolewa na mnyantuzu mwenzake.

Yapo makabila yamepishana sana tamaduni na mila zake, mfano mnyamwezi akiolewa na mkurya, kuadapt mila za kikurya itamuia vigumu sana, labda wakaishi mbali na huyo mme wake, nk nk.
 
Back
Top Bottom