Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Laki moja. Angalia sana mkuu Utaingizwa chaka
Nipe namba yake mkuu nina laki 3 za zimbabwe hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki moja. Angalia sana mkuu Utaingizwa chaka
Maisha magumu watu wanajitoa fahamu. Mkulu wa kaya alegeze kamba kidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole yako kaka wanawake wa siku hizi ni noma sana
Nani atume, situmi hata kwa dawa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] blaaahAisee ila aliye nyumbua jina la "Sepetu" into "Sepenga" si mchezo.
Si hata mimi nimeshangaa mkuuYan wema ashindwe kumwambia mbowe akwambie ww
Thief huyo mkuuWema don’t need to manage her anger, but people need to manage their stupidity....
hahaha ukajua baada ya kutuma laki unaweza kupata ka 'fursa' kwa sepenga hahaha hao ni scammers wanatumia 'image' za celebrities kutapeli watu.Alitaka kuniliza mimi basi huyo mkuu kum* mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimemstukia mkuuHana kabisaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] duuh watu wajanja aiseehahaha ukajua baada ya kutuma laki unaweza kupata ka 'fursa' kwa sepenga hahaha hao ni scammers wanatumia 'image' za celebrities kutapeli watu.
Akawataperi wazazi wakeAsee kaa mbali ni utapeli huoo