Hivi huyu ni kweli mwenyewe sepenga au mtu kafungua hii account kwa kutumia jina la wema hili awatapeli watu

Hivi huyu ni kweli mwenyewe sepenga au mtu kafungua hii account kwa kutumia jina la wema hili awatapeli watu

Wema don’t need to manage her anger, but people need to manage their stupidity....
 
Aisee ila aliye nyumbua jina la "Sepetu" into "Sepenga" si mchezo.
 
huyo ni tapeli, ila ni utapeli wa kitoto sana huu, sema wengine ndio hivyo wanaingizwagwa mjini.

siku moja, Saidi Fela alisema ukiangalia facebook kuna Saidi Fela kama 10, lakini wote ni feki na wanawatapeli watu hela ndogo ndogo.
 
Back
Top Bottom