Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Naomba kusahihishwa kama niliyemtaja na anayeonekana kwenye picha sio..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwekewa hao wawili chumbani unaweza kumchagua yeyeView attachment 737619 Wadau,hii picha nimeingalia mara tano nakujikuta kana macho yangu yananiambia huyu ni gwiji la Fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kitama) Ali Remtulla...nimejikuta nashangazwa na hilo pozi lake mbaya zaidi hapo mguuni kwenye nyekundu kapiga kikuku Daah hii ni dalili ya kuwa watu wanafukua mtaro hapo asee dunia hii.
Naomba kusahihishwa kama niliyemtaja na anayeonekana kwenye picha sio..
God forbid... But wanaume wengi walio kwenye hii industry kama sio kabisa basi wana viashiriaNi gwiji la fashion ana demonstrate fashion
Funguka zaidi mkuuMbona huyo ni mke wa mtu
Mbona huyo ni mke wa mtu
Hawa wanaume wa fashion sijui kwanini uanaume wao hua una walakini
Aaah wapi wanaume mlenda namna hii hapanaeti sindo hao ambao nyie wanawake mnaowaelewa barabara au