Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

mwenzio anadvatise mavazi wewe ushawaza mambo mengine mwenzio anaingiza mifedha...hakuna kingine zaidi ya kutangaza mavazi ya wadada wa mjini
 
Nchi za wenzetu watu wengi wa fashion, modelling, saloon wengi ni mashoga na siyo jambo la ajabu. Tutachukua muda kukubali hii hali ila yawezekana wachangiaji wengine wana vinasaba hivyo ila hawakubali ukweli otherwise tusingekuwa na neno Tigo.
;
 
Mnashangazwa na mke wa mtu kuvaa hivyo?
Huyo ni mwanamke kama wanawake wengine kasoro yeye hana matiti tu
 
Ali Remtula ndio yupi hapo, huyo mwenye magwanda meusi?
 
Nchi za wenzetu watu wengi wa fashion, modelling, saloon wengi ni mashoga na siyo jambo la ajabu. Tutachukua muda kukubali hii hali ila yawezekana wachangiaji wengine wana vinasaba hivyo ila hawakubali ukweli otherwise tusingekuwa na neno Tigo.
;
Kwa hiyo unataka kusemaje mkuu?
 
Kwanini watu wengi waliopo kwenye intertainment industry wanajihusisha na mambo mabaya kama vile gaysim,lesbianism na utumiajiaji wa madawa?
 
Nilisikiaga huyu ni punga..nlichokaga kwenye birthday yake moja hivi alitengenezewa keki ya dushelele
 
nkasoukumu
Mimi sio activist. I'm realist.

Anaweza kuwa shoga au asiwe shoga.

Yote yanawezekana, lakini hiyo hainuhusu mimi wala yeyote.

Yeye hana shida na hali yake, iweje wewe / wao waumie sana kuhusu yeye??

Hivyo, wewe unaumia sana kuliko yeye mwenyewe??
 
Back
Top Bottom