pyramid
Member
- Jan 25, 2016
- 48
- 27
Kwa hiyo unataka na sisi tukubali Kama nchi zingine peleka umaandazi hukoNchi za wenzetu watu wengi wa fashion, modelling, saloon wengi ni mashoga na siyo jambo la ajabu. Tutachukua muda kukubali hii hali ila yawezekana wachangiaji wengine wana vinasaba hivyo ila hawakubali ukweli otherwise tusingekuwa na neno Tigo.
;