Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

We jamaa ina maana hujui km kuvaa kikuu mwanaume ni upunga na unatetea kabisa km sio punga wewe cjui
Kesho tusikie akitetea mwanaume kuvaa shanga kiunoni ni fashiiiiion.
 
Unaongelea Tanzania au? Plz, kikwetukwetu, kiasilia yetu kiTZ, Me wa ukweli hawavai vikuku. Unless hujazaliwa TZ
Mimi sijui na sijali kama wanaovaa vikuku ni ME wa ukweli au vinginevyo.

Ninachojua na ninachojali ni kuwa, kuvaa kikuku au kutovaa kikuku au kuwa shoga au kutokuwa shoga ni mambo binafsi ambayo sina mamlaka ya kumuelekeza au kumkemea yeyote, na hivyo hakuna mwenye mamlaka ya kufanya hivyo pia.
 
View attachment 737619 Wadau,hii picha nimeingalia mara tano nakujikuta kana macho yangu yananiambia huyu ni gwiji la Fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kitama) Ali Remtulla...nimejikuta nashangazwa na hilo pozi lake mbaya zaidi hapo mguuni kwenye nyekundu kapiga kikuku Daah hii ni dalili ya kuwa watu wanafukua mtaro hapo asee dunia hii.
Naomba kusahihishwa kama niliyemtaja na anayeonekana kwenye picha sio..
She looks good..oooh sorry he looks good
 
Mimi sijui na sijali kama wanaovaa vikuku ni ME wa ukweli au vinginevyo.

Ninachojua na ninachojali ni kuwa, kuvaa kikuku au kutovaa kikuku au kuwa shoga au kutokuwa shoga ni mambo binafsi ambayo sina mamlaka ya kumuelekeza au kumkemea yeyote, na hivyo hakuna mwenye mamlaka ya kufanya hivyo pia.
Nimeshaelewa unasimamia wapi. Ila kibongo bongo, haikubaliki. Bado saaana kukubali vijana wetu kuwa mashoga.
 
Jaman jaman zaman ndo nilijuaa haya mambo ni siri yesterday nilikuwepo club mojaa baada ya kutoka harusini niliishiaa kufungaa macho .....ushoga umekuwaa kawaidaaa wanaume wanaganyaa mambo ambayo hayafai jamani Mungu atunusu mpkaa nikaona kama ndo duniaa inakaribia kuishaa
.
.
.ila wanasema ukionaa mwanaume ana upingaa saana ushoga kwa nguvu zake esp kwenye mitandao naye ndo hao hao
 
What difference does it make??

Inawezekana kabisa hao vijana wenu (baadhi) wakawa ni mashoga.

Kukubali au kutokubali haifanyi wasiwepo.

Mimi ninazungumza kuhusu vitu vinavyoonekana, wewe unazungumza kuhusu hisia na malengo.
 
Kwa hiyo unataka kusemaje mkuu?
Kama wewe ni straight pita tu, wale wenye kujijua ni gays au ni both wanaojificha ndo wanapiga sana kelele. Kama ukifuatilia watu walioua mashoga au kujiua ni wale ambao wamezaliwa hivyo ila hawajikubali. Genes zikiwa corrupted siyo kazi yako ni maumbile. Tusiwalaumu. Mimi ni straight, mama/bibi ila nimetembea duniani nimeishi na hawa watu nimewasikiliza na najua machungu yao ila watu wanawa judge tu. Wakulaumu ni wazazi waliowazaa na genes hizo.
 
Hivi kipindi kile amekula keki ikiyokua kama sample ya mboro hamkuona au?
 
Kama wewe ni straight pita tu, wale wenye kujijua ni gays au ni both wanaojificha ndo wanapiga sana kelele. Kama ukifuatilia watu walioua mashoga au kujiua ni wale ambao wamezaliwa hivyo ila hawajikubali. Genes zikiwa corrupted siyo kazi yako ni maumbile. Tusiwalaumu. Mimi ni straight, mama/bibi ila nimetembea duniani nimeishi na hawa watu nimewasikiliza na najua machungu yao ila watu wanawa judge tu. Wakulaumu ni wazazi waliowazaa na genes hizo.
So una support waendelee kufirwa/kutolewa puru sio?
 
So una support waendelee ku*****/kutolewa puru sio?
Mimi hainihusu watakavyofanya sababu ndivyo walivyo. Unapowalaumu, anza kwa wazazi wao waliotoa hizo genes corrupted. Wameuawa sana duniani lakini haijawamaliza. Socrates alikuwaje?
 
Mtoto mdogo kapelekwa boarding akiwa mzima kakutana na mafirauni wakamzoesha usenge afu usingizie wazazi wao?

Rais Museveni aliajiri ma Dr. Kuchunguza chanzo kikubwa cha ushoga na report ikatoka ni vijana kujienddkeza tu.

Town hapa wanaume kibao wanapigwa miti kisa wanapenda magari;nyumba nzuri afu uje useme eti mambo ya wazazi,Maajabu sana aisee.
 
Jaman jaman zaman ndo nilijuaa haya mambo ni siri yesterday nilikuwepo club mojaa baada ya kutoka harusini niliishiaa kufungaa macho .....ushoga umekuwaa kawaidaaa wanaume wanaganyaa mambo ambayo hayafai jamani Mungu atunusu mpkaa nikaona kama ndo duniaa inakaribia kuishaa
.
.
.ila wanasema ukionaa mwanaume ana upingaa saana ushoga kwa nguvu zake esp kwenye mitandao naye ndo hao hao
Shindwa...
 
Soma historia watu walipolazimishwa kusema dunia ni flat si walikataa wakauawa? Acha watu waishi wanavyoamua mradi hawaingilii kwenye maisha yako. Kama wewe ni straight basi jali maisha yako. What does it to do with others? Mnawalaumu mnawasema lakini wakimwaga misaada mnapokea. Kumbuka misaada mnayopokea watoaji wakubwa ni ma gay.
 
Naunga mkono hoja na hao ndo wengi walioanzisha msemo wa Tigo.
 
Soma historia watu walipolazimishwa kusema dunia ni flat si walikataa wakauawa? Acha watu waishi wanavyoamua mradi hawaingilii kwenye maisha yako. Kama wewe ni straight basi jali maisha yako. What does it to do with others? Mnawalaumu mnawasema lakini wakimwaga misaada mnapokea. Kumbuka misaada mnayopokea watoaji wakubwa ni ma gay.
Wapokee misaada kutoka kwa Mapunga/wasagaji au popte pale hai change facts kwamba hilo ni tatizo la kujitakia.

Taasisi za kidini/ma hospital zinapokea pesa nyingi tu kutoka rotary na taasisi kibao zinazofungamana na secret societies kwani hii inawafanya wapokea misaada kuwa sehemu ya hizo societies?
 
Amini unachotaka naishi kivyako. Watu kama wewe ni mixed genes ila mnajikataa. Mtu ambaye ni straight hana hata time ya kupinga hivi vitu. Nenda tena kwenye vitabu vya saikolojia ujitafakari. Bye tusiongee tena.
 
Back
Top Bottom