Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

Huwezi kupanga nani ampende nani, na nani avae kipi.

Kama hiyo ndio tafsiri yako ya kukemea mabaya utakuwa na matatizo makubwa ya kisaikolojia kuliko ujinga niliodhani unao.

Mimi sina uwezo wa kukemea au kumuelekeze nani ampende nani.

Sina nafasi ya kupanga jema na baya ni lipi. (Kwa mfano kuvaa kikuku)

I have my own standards for my own life, not others' .

Hivyo, yeye naye anazo standards zake ambazo hazipaswi kuingiliwa.

Una point nzuri but sijazielewa kabisaa
 
View attachment 737619 Wadau,hii picha nimeingalia mara tano nakujikuta kana macho yangu yananiambia huyu ni gwiji la Fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kitama) Ali Remtulla...nimejikuta nashangazwa na hilo pozi lake mbaya zaidi hapo mguuni kwenye nyekundu kapiga kikuku Daah hii ni dalili ya kuwa watu wanafukua mtaro hapo asee dunia hii.
Naomba kusahihishwa kama niliyemtaja na anayeonekana kwenye picha sio..
Ooh
 
Huyu siku ya kwanza na muona kwenye tv nilijua mtoto sio rizki
 
Attachments

  • kekii2.jpg
    kekii2.jpg
    33.7 KB · Views: 8
View attachment 737619 Wadau,hii picha nimeingalia mara tano nakujikuta kana macho yangu yananiambia huyu ni gwiji la Fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kitama) Ali Remtulla...nimejikuta nashangazwa na hilo pozi lake mbaya zaidi hapo mguuni kwenye nyekundu kapiga kikuku Daah hii ni dalili ya kuwa watu wanafukua mtaro hapo asee dunia hii.
Naomba kusahihishwa kama niliyemtaja na anayeonekana kwenye picha sio..
Binadamu ni kiumbe hatari sana, anaficha mambo mazito kuliko anayo kuonyesha
 
Back
Top Bottom