Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

Hapana kaka ni fashion tu

Hapana Mimi kama Kaka yako na Rafiki yako sitaki na siruhusu ufanye hivyo na endapo utathubutu kufanya hivyo basi Mimi na Wewe Urafiki wetu ndiyo utakuwa umefikia Kigoma / Mwisho. Wapo Wanawake wa kufanya huo ' Upuuzi ' ila siyo kwa Mwanamke Wewe wa Heshima yako na mwenye thamani kubwa iliyotukuka. Waachie Wanawake na Wanaume ' wanaotambaliziwa ' ndiyo wafanye huo ' Ushenzi ' tafadhali Dada.
 
Asante kaka/rafiki na mimi nilitaka ku fit in na wadada wa mjini
 
Sky Eclat

Bila shaka watu wasiojulikana wame-hack account yako ya JF.
 
Hapana Mimi kama Kaka yako na Rafiki yako sitaki na siruhusu ufanye hivyo na endapo utathubutu kufanya hivyo basi Mimi na Wewe Urafiki wetu ndiyo utakuwa umefikia Kigoma / Mwisho. Wapo Wanawake wa kufanya huo ' Upuuzi ' ila siyo kwa Mwanamke Wewe wa Heshima yako na mwenye thamani kubwa iliyotukuka. Waachie Wanawake na Wanaume ' wanaotambaliziwa ' ndiyo wafanye huo ' Ushenzi ' tafadhali Dada.
Wewe mbona unasikiliza Taarabu ?
 
ona jamaa alivokaa jaman.........onaa....mweeeeehhhh!!!!![emoji23]
 
Khaaa!!
Angalia usipitilize na kupenda mengine afanyayo...
 
Nasikia huwa kuna kitu vinamaanisha sasa uliza kwa wajuzi,visije vikawa vinamaanisha jambo baya vikakuletea picha mbaya.
 
Back
Top Bottom