Basi wewe ni mmimi!
Ukiona nduguyo anakosea unanuonya au unamuacha akosee?!
Ukiona mtoto usiyemfahamu anafanya mzaha barabarani unamuacha acheze na Barbara au unamvusha na kumuonya?!
Kama unawajali wengine, haupaswi kugeneralize vitu kwa maneno rahisi hivyo.
Hakuna mtu anaonea wivu ujinga.. Hatukuumbwa tufanye mapenzi kwa starehe tu.. Kubwa ni kuzaana pia.
Faida za sisi kuzaana ndio zimeifanya Leo unaiona Tanzania.. Wanaume wamefanya lazo ilipaswa kufanyika.. Ushoga unatuchelewesha kuijaza dunia..
Natamani wasiwepo kabisa mashoga. Na wala tusiige norms za mataifa mengine..haitufanyi kuwa wa maana hata kidogo.. Sana tunaonekana ni Bender's fuata upepo. Tusifanganyike hili sio kawaida..no matter how hard they are trying to paint it as normal.