Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Wadau,hii picha nimeingalia mara tano nakujikuta kana macho yangu yananiambia huyu ni gwiji la Fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kitama) Ali Remtulla...nimejikuta nashangazwa na hilo pozi lake mbaya zaidi hapo mguuni kwenye nyekundu kapiga kikuku Daah hii ni dalili ya kuwa watu wanafukua mtaro hapo asee dunia hii.
Naomba kusahihishwa kama niliyemtaja na anayeonekana kwenye picha sio..
 
Ukiwekewa hao wawili chumbani unaweza kumchagua yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…