Sidhani kama yuko timamu.Wakuu!
Niliingia humu mida fulani nikakutana na uzi wa Dada yangu Binti wa zamani akihoji hizi notifications za 🤬🤮 inakuwaje ?
Na wadau wakamlenga moja kwa moja kwamba huyu Member wa kuitwa PSL god ndio kazi yake .
Sasa nawauliza wenzangu huyu Member ana tatizo gani ? Mpaka anakuwa anaweka hizi reactions kwa baadhi Members?
Nimeanzisha uzi baada ya kuingia muda huu nakutana na notifications nyingi sana za huyu PSL god . Hivi huyu mwenzetu mnamuelewa ?
Huu kwangu binafsi nauona ni uchafu tu wala sio compliment kwangu.
Uongozi wa JamiiForums naomba mjaribu kumuelewesha huyu Member anachokifanya hakipendezi na wala hakina maana yoyote.
TubhusangileNahene Nkoyi. Bhujiku ng'waka
Ni kweli kabisa na simtetei ila alimradi kitufe cha like na dislike kimewekwa basi kimewekwa kitumikeWakuu!
Niliingia humu mida fulani nikakutana na uzi wa Dada yangu Binti wa zamani akihoji hizi notifications za 🤬🤮 inakuwaje ?
Na wadau wakamlenga moja kwa moja kwamba huyu Member wa kuitwa PSL god ndio kazi yake .
Sasa nawauliza wenzangu huyu Member ana tatizo gani ? Mpaka anakuwa anaweka hizi reactions kwa baadhi Members?
Nimeanzisha uzi baada ya kuingia muda huu nakutana na notifications nyingi sana za huyu PSL god . Hivi huyu mwenzetu mnamuelewa ?
Huu kwangu binafsi nauona ni uchafu tu wala sio compliment kwangu.
Uongozi wa JamiiForums naomba mjaribu kumuelewesha huyu Member anachokifanya hakipendezi na wala hakina maana yoyote.
View attachment 3669325
kwamba dislike ndio changamoto, halafu reactions nyingine kama vile like ndio sio changamoto, right?Wakuu!
Niliingia humu mida fulani nikakutana na uzi wa Dada yangu Binti wa zamani akihoji hizi notifications za 🤬🤮 inakuwaje ?
Na wadau wakamlenga moja kwa moja kwamba huyu Member wa kuitwa PSL god ndio kazi yake .
Sasa nawauliza wenzangu huyu Member ana tatizo gani ? Mpaka anakuwa anaweka hizi reactions kwa baadhi Members?
Nimeanzisha uzi baada ya kuingia muda huu nakutana na notifications nyingi sana za huyu PSL god . Hivi huyu mwenzetu mnamuelewa ?
Huu kwangu binafsi nauona ni uchafu tu wala sio compliment kwangu.
Uongozi wa JamiiForums naomba mjaribu kumuelewesha huyu Member anachokifanya hakipendezi na wala hakina maana yoyote.
View attachment 3669325
Hata mimi ndio nashangaa mkuu ukute nawewe na vinyani vyako ukawa changamoto kuliko yule wa vinyaukwamba dislike ndio changamoto, halafu reactions nyingine kama vile like ndio sio changamoto, right?
kuna mwingine hua anapita na like tu, huyo sio changamoto ila huyu wa dislike?🐒
Hana mshipa wa aibu anagawa dislikes hadi kwa platnum membersWakuu!
Niliingia humu mida fulani nikakutana na uzi wa Dada yangu Binti wa zamani akihoji hizi notifications za 🤬🤮 inakuwaje ?
Na wadau wakamlenga moja kwa moja kwamba huyu Member wa kuitwa PSL god ndio kazi yake .
Sasa nawauliza wenzangu huyu Member ana tatizo gani ? Mpaka anakuwa anaweka hizi reactions kwa baadhi Members?
Nimeanzisha uzi baada ya kuingia muda huu nakutana na notifications nyingi sana za huyu PSL god . Hivi huyu mwenzetu mnamuelewa ?
Huu kwangu binafsi nauona ni uchafu tu wala sio compliment kwangu.
Uongozi wa JamiiForums naomba mjaribu kumuelewesha huyu Member anachokifanya hakipendezi na wala hakina maana yoyote.
View attachment 3669325
Huyo anafuga ngendereHata mimi ndio nashangaa mkuu ukute nawewe na vinyani vyako ukawa changamoto kuliko yule wa vinyau
Mtu ndani ya lisaa anakupa dislike 🤮😡 300, hata kama ningekuta ni like ningechukulia ni usumbufu.Ukipewa like mbona hauleti malalamiko? Hizo dislike zinakuathiri nini? Zingekuwa hazitakiwi, JF ingeziondoa.