Hivi huyu PSL god mnamuelewa ?

Ni shoga huyo ,Id yake ya zamani ilifungiwa kwa sababu ya ushoga akafungua hiyo
 
kwamba dislike ndio changamoto, halafu reactions nyingine kama vile like ndio sio changamoto, right?

kuna mwingine hua anapita na like tu, huyo sio changamoto ila huyu wa dislike, right?🐒
Wakumaind ungetakiwa uwe ni ww mzee wa lumumba nazani kwenye watu wanaongoza kwa dislike ni humu ni huyu mtu ila wala hapaniki
 
Wakumaind ungetakiwa uwe ni ww mzee wa lumumba nazani kwenye watu wanaongoza kwa dislike ni humu ni huyu mtu ila wala hapaniki
inashangaza mno aise,
why mtu upanic kwasababu ya maoni au mtazamo huru wa mtu mwingine hata kama ni tofauti na wako?

binafsi kwangu,
hayo hua naona ndio mawazo, fikra na maoni ya muhusika. Na hapo ndio uwezo wake wa fikra mpya na mawazo mbadala ulipoishia.

na mtu huyo ana haki na uhuru wa kutoa maoni yake kwa kuandika kwa maelezo kwa maneno, hata kama ni matusi, au anaweza kutumia emoji mbalimbali ambazo zimewekwa mahususi kwenye vifaa tunavyotumia, huku vikiwa vimebeba ujumbe mahususi wa mtazamo wa anaetumia emoji hiyo kwa mfano like and dislike 🐒
 
Alichokitaka amefanikiwa, hivi mnavyompa attention na kumfungulia nyuzi ndo furaha yake…!!

Halafu Manyanza na wewe mbona ukikuta notifications za likes kutoka kwa raraa reree na leo dada hupandishi uzi wa malalamiko?? 😹😹😹

Mkipenda like msichukie na dislike..

Acha kulia kulia mtoto wa kiume
 
ok.🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…