Hivi huyu PSL god mnamuelewa ?

Sio dislikes tu, hata reactions nyingine kama hazina mpangilio zinaleta taharuki ya saikolojia. Unakuta notifs ina 50likes kwa mtu mmoja, yaani mtu anatoa like bila mpangilio. Hana kitu cha kumuweka busy au nini?
 
Aio dislikes tu, hata reactions nyingine kama hazina mpangilio zinaleta taharuki ya saikolojia. Unakuta notifs ina 50likes kwa mtu mmoja, yaani mtu anatoa like bila mpangilio. Hana kitu cha kumuweka busy au nini?
Kweli watu tunatofautiana! Naona unaumia kichwa kwa kitu kidogo kama hiki.
Epuka magonjwa ya moyo
 
Hata likes zikiwa hazina mpangilio zinaboa tu. Huwezi kulike kila comment bila sababu za msingu, nayo ni matumizi mabaya ya huzo reactions tu. Unakutana na notifs za likes kwa mtu mmoja zinafik 50, ujinga tu.
 
Paragraph 3 plus kakima kako! Huenda ni parody lako!🙄
 
Fanya ndio ila usikere watu! We ukitaka hata kujinyea humu ni wewe, ukitaka kupita uchi hayaa! Ila sio mpaka uguse na wengine wageuke! Acha wageuke wenyewe!
Binafsi hajawahi kunikera huyo jamaa, labda kwa sababu hua nawapuuzia watu wengi humu hvy siwawek akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…