Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
ππππ nimemuona na nimeshamuweka kule sehem anashahili.Ameshakugumia π€£
Nipo kichuna πUpo mchumba?
Umepotea sana , nilikumis mnoπNipo kichuna π
Nilibanwa na majukumu ila nimerudi, nimekutana na nyuzi zako umevuruga kila kona.Umepotea sana , nilikumis mnoπ
Kumu-ignore inagharimu siku ngapi?Huyo jamaa hajielewi anapoteza muda kufuatilia maisha ya watu mi comments zangu zote hapa jf kanilima kaniwekea dislikes π
Sijui kuignore nielekeze mkuuKumu-ignore inagharimu siku ngapi?
Nenda kwenye id yake i-tap,italeta options.Mojawapo ni ignore utaiona kwa chini yake.Tap hiyo ignore atakuwa amelamba "gudubai"!Sijui kuignore nielekeze mkuu
Inaniandikia this member has limit some members to view his full profile kwahiyo kaniwahi kabla mchana haijawa juzi atafute mabuzi fresh fresh kama cucumberNenda kwenye id yake i-tap,italeta options.Mojawapo ni ignore utaiona kwa chini yake.Tap hiyo ignore atakuwa amelamba "gudubai"!
Nimemvizia na kumu-ignore chapchap!
Ilikua haina haja, hatakuongezea wala kukupuguzia chochote...Nimemvizia na kumu-ignore chapchap!
Kwangu anakuwa kakero fulani ka kitotototo hivi.Akafie maporini huko.Ilikua haina haja, hatakuongezea wala kukupuguzia chochote...
Pole sana...Kwangu anakuwa kakero fulani ka kitotototo hivi.Akafie maporini huko.
Asante sana kwa kunionea huruma mkuu.Nitakukumbuka nikiokota mahela mkuu.Pole sana...