Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda ukaangaliye na naira marley
1996 nipo STD 2 leo mtoto mdogo ananizidi mapeneTEKASHI SIX NINE - Daniel Hernandez (born May 8, 1996)
FREEMASON KAZINI
Pimbi huyuView attachment 2154177 Hizo rangi rangi vp ? au huyu dogo nae ni mchicha mwiba🤔
Nenda kawaangalie vijana wa ovyo ni mapacha wanaitwa island boys 😁😁😁😁😁 eti wana wazazi we search island boys vidogo sna range miaka 20
Kumbe ni dogo tu mbona ana matukio makubwa ya kutishaTEKASHI SIX NINE - Daniel Hernandez (born May 8, 1996)
FREEMASON KAZINI
"We support her"..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maswala ya wazazi bongo tu .baba wa kina kim alibadilisha jinsia watoto wanaulizwa vipi wanasema we support her
Yani siku hizi nimezeeka kiasi kwamba hawa watu nawaonaga kwenye picha sijui hata masong yao.Jamaa anaimba SHIT tupu halafu anapata viewers hadi bilioni kupitia ujinga wake huko YouTube na ana wafuatiliaji si chini ya 20 milioni.
Yaan video zake ndio balaa tupu video vixen wana mizigo mno, kama una roho nyepesi unaweza hata kuwamwaga wa** View attachment 2154176View attachment 2154174View attachment 2154175
Yani siku hizi nimezeeka kiasi kwamba hawa watu nawaonaga kwenye picha sijui hata masong yao.
Mimi bado tu naishi zana za akina chrisbrown
Sijui alimzingua kitu gani mpaka akampiga vile. Sema ilimtesa baada ya hapo kila song analialia mara open road, mara all back, don't judge meHuyo Chris Brown ndio mbuzi kabisa. We huwezi kumpiga na kumvunja macho mtoto mzuri vile kama Rihanna. Mi ningempata yule baby ningemuweka ndani asafishe nyumba sio kumpa mateke.
Sijui alimzingua kitu gani mpaka akampiga vile. Sema ilimtesa baada ya hapo kila song analialia mara open road, mara all back, don't judge me
Ana uchizi flani.Yule mjomba sijui kama akili zake zipo sawa, yaani yule ni ngumi mkononi kama msela wa Tandika. Ana matatizo yule, sio bure.
Rangi za hilo jacket lake ndio linanipa mashaka...Jamaa anaimba SHIT tupu halafu anapata viewers hadi bilioni kupitia ujinga wake huko YouTube na ana wafuatiliaji si chini ya 20 milioni. Yaan video zake ndio balaa tupu video vixen wana mizigo mno, kama una roho nyepesi unaweza hata kuwamwaga wa**
View attachment 2154176
1996 nipo STD 2 leo mtoto mdogo ananizidi mapene
Namkubari sana huyu mtu, huwa hajivungi kuchana mtu live