Hivi huyu rapa 6ix9ine hana wazazi huyu?

Hivi huyu rapa 6ix9ine hana wazazi huyu?

Huyo ndo wakala wa ile dini kwa vijana na wasanii wanaochipukia.
 
Nenda kawaangalie vijana wa ovyo ni mapacha wanaitwa island boys [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti wana wazazi we search island boys vidogo sna range miaka 20
Ni wapuuzi flani wamejichora tattoo hadi kwenye mavi
 
Yule mjomba sijui kama akili zake zipo sawa, yaani yule ni ngumi mkononi kama msela wa Tandika. Ana matatizo yule, sio bure.
Nmesoma mahali meneja na tekash mwenyewe anasema kafulia kabisa yano strugling to make ends meet.
Hata ela ya kulipa gas alisaidiwa na meneja wake
 
Nmesoma mahali meneja na tekash mwenyewe anasema kafulia kabisa yano strugling to make ends meet.
Hata ela ya kulipa gas alisaidiwa na meneja wake

Kuna deni anadaiwa anakatwa pesa nyingi sana kumemporomosha kiuchumi mpaka kaomba kuwa ana watoto wawili na mma yao wanamtegemea
 
Nmesoma mahali meneja na tekash mwenyewe anasema kafulia kabisa yano strugling to make ends meet.
Hata ela ya kulipa gas alisaidiwa na meneja wake
Inawezekana pia anadanganya yupo broke, maana hii si mara ya kwanza msani kudanganya amefulia anapotakiwa kulipa faini au madeni. Hata kuna kipindi 50 Cent alipelekewa na Baby Momma wake mahakamani ili alipe child support na child support ilikuwa kubwa ikabidi jamaa aseme amefilisika kabisa na akaomba apunguziwe kiasi cha malipo ya child support.
 
Jamaa anaimba SHIT tupu halafu anapata viewers hadi bilioni kupitia ujinga wake huko YouTube na ana wafuatiliaji si chini ya 20 milioni. Yaan video zake ndio balaa tupu video vixen wana mizigo mno, kama una roho nyepesi unaweza hata kuwamwaga wa**

View attachment 2154176
Huo upuuzi unaosema anarap ndiyo ulimwengu unataka kusikia. Asilimia kubwa ya pop / mainstream music ni mambo kama hizo. Na ndiyo soko la muziki linataka. Ndiyo maana utaona kuna wanawake wanacheza nusu uchi au uchi kabisa kwenye videos, wasanii wakiflex magari, cheni, dolari na kutumia strong language (hapa watatukana ama kuzungumzia mambo ya faragha).
Hili alilielewa Diamond ndiyo maana ameufikia ulimwengu kwa urahisi zaidi. Msanii hawezi kuwa relevant bila kuwa mtu wa kuzua gumzo, kuflex mali zake, kuvaa na kutengeneza nywele mitindo tofauti na maadili ya kijamii, kuvaa cheni nyingi shingoni, n.k hii ni lifestyle inayowavutia mashabiki wengi. Na ndiyo maana msanii analazimika kuendana na hayo maisha ili awe maarufu ili nyimbo zake ziwe maarufu.
Na ndiyo aina za muziki zinazopata umaarufu na kumuinua msanii kiurahisi. Mara nyingi hawa wasanii wapo tofauti kabisa kwenye real life, na wanafanya muziki kama business kwa kufuata taratibu kama hizo ili kupush kazi zao.

Nyimbo karibu zote zilizo kwenye kundi la pop music kuna baadhi ya themes zinafanana na nilizotaja hapo juu ni chache.
 
Back
Top Bottom