Hivi huyu rapa 6ix9ine hana wazazi huyu?

Nenda kawaangalie vijana wa ovyo ni mapacha wanaitwa island boys 😁😁😁😁😁 eti wana wazazi we search island boys vidogo sna range miaka 20

Wale watoto ndio hawana akili hata moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] maswala ya wazazi bongo tu .baba wa kina kim alibadilisha jinsia watoto wanaulizwa vipi wanasema we support her
"We support her"..[emoji23][emoji23]
 
Yani siku hizi nimezeeka kiasi kwamba hawa watu nawaonaga kwenye picha sijui hata masong yao.
Mimi bado tu naishi zana za akina chrisbrown
 
Huyo Chris Brown ndio mbuzi kabisa. We huwezi kumpiga na kumvunja macho mtoto mzuri vile kama Rihanna. Mi ningempata yule baby ningemuweka ndani asafishe nyumba sio kumpa mateke.
 
Sijui alimzingua kitu gani mpaka akampiga vile. Sema ilimtesa baada ya hapo kila song analialia mara open road, mara all back, don't judge me
 
Yule mjomba sijui kama akili zake zipo sawa, yaani yule ni ngumi mkononi kama msela wa Tandika. Ana matatizo yule, sio bure.
 
Ana uchizi flani.
Ila naona kama wakati wake naye umepita au kwakiwa sifuatilii mziki siku hizi ndio maana simsikii na hits?
Mtu mwingine ambaye mimi namuona chizi kabisa ni Kanye West 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…