Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?
Mkishampatia kipigo akaumia au hata akafa kabisa, mtaifanya Simba imfunge Yanga? Au mtarudi katika ubora ule wa miaka mitano sita iliyopita?

Wekeni mikakati ya maana mchukue ubingwa kibabe na huko CAF (Champions League) mkichafue haswaa. Huyo Mchome Mapovu na wenzie hamtawasikia au mtawasikia vile mnataka wasikike.😀😀😀
 
Back
Top Bottom