Denioh
Member
- May 9, 2024
- 65
- 119
AminHuna akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminHuna akili
Huyo ni mashabiki wa simba na ni mchungaji wao sasa huku yanga wapi na wapi.yeye ni wenu huyo msimkataeHuyo ni project ya utopolo.
Nyuma mwiko walijipanga sana kihakikisha wanashinda kwenye kila pigano na huyu ni ushindi wao upande wa mashabiki.
Watanzania hatuna huu upuuziNi mkazi wa mbezi kwa msuguri mtaa wa singida ila anafanyia shughuri zake mataa wa masaki za uwakala wa fedha mitandaoni
Kwanza huyu jamaa ni muhaa alaf ajakula ata x-mas 5 mjini hapa kwaiy bado anakaushamba flan ambacho kimekuwa powered na online tv kwa kumuaminisha akifany inyoo atakua maarufu ila jamaa flan fala tu na anamaisha magumu
Binafs uwa ananikela sana mkitak kumteka niambieni niwacholeshee raman ili afundishwe kuwa upumbavu ni mzigo
Anapepeta?Huwa hachambui, nadhani humjui
Huyu ni sigara kali inawashwa mbele na nyuma.Kuwa na msimamo mtoto wa kiume si ulisema hushangilii tena timu za bongo.
Ushahidi huo hapo
Wakukutafuna wewe mbumbumbuWa Kukubandua au?
Kunywa sumuNi mkazi wa mbezi kwa msuguri mtaa wa singida ila anafanyia shughuri zake mataa wa masaki za uwakala wa fedha mitandaoni
Kwanza huyu jamaa ni muhaa alaf ajakula ata x-mas 5 mjini hapa kwaiy bado anakaushamba flan ambacho kimekuwa powered na online tv kwa kumuaminisha akifany inyoo atakua maarufu ila jamaa flan fala tu na anamaisha magumu
Binafs uwa ananikela sana mkitak kumteka niambieni niwacholeshee raman ili afundishwe kuwa upumbavu ni mzigo
Walishamtikisa huyu!Huyo ni mashabiki wa simba na ni mchungaji wao sasa huku yanga wapi na wapi.yeye ni wenu huyo msimkatae
HuendaAnapepeta?
Shusha pumzi kidogo basi mkuuMumuumize mtu kisa mpira? agh! mbona tunawaweka jela!
Tafuteni pesa vijana acheni chuki.
Tuanze na wewe maana unaongoza kuibagaza Simba hapa jukwaani. Kwako Simba ni wakati inaposhinda tu basi. Haya ulimuwangia Barbara wawatu, sasa umepata nini tangu aondoke?Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?